Search found 6 matches

by offside
Wed Oct 19, 2016 9:10 am
Forum: Mambo Mchanganyiko
Topic: DROGBA AGOMA KUCHEZA, KISA KUPIGWA BENCHI
Replies: 0
Views: 97

DROGBA AGOMA KUCHEZA, KISA KUPIGWA BENCHI

Mchezaji wa timu ya Montreal Impact inayoshiriki ligi kuu ya Marekani(MLS) Didier Drogba amegoma kucheza kabisa baada ya kocha wa timu hiyo kumuweka benchi, timu hiyo ilipocheza na timu ya Toronto. Drogba hakuonekana kabisa uwanjani hapo huku akichukizwa kabisa na kitendo cha kocha wake Mauro Biello...
by offside
Mon Sep 26, 2016 1:10 pm
Forum: Manchester United Fans
Topic: ROONEY KUANZIA BENCHI, NINI HATMA YAKE???
Replies: 0
Views: 88

ROONEY KUANZIA BENCHI, NINI HATMA YAKE???

Kwenye mechi dhidi ya Leicester City, nahodha wa Man U Wyne Rooney alitokea benchi. Wachambuzi wa soka wanasema hii ni dalili mbaya kwa mchezaji huyo aliyekuwa mahiri. Juan Mata alianza na akafunga bao moja zuri, ambalo ni la pili kwa msimu huu. Mata ambaye aliuzwa na Jose Morinho alipokuwa Chelsea ...
by offside
Wed Sep 21, 2016 9:23 am
Forum: Manchester City Fans
Topic: GUARDIOLA:TOURE HATACHEZA MPAKA WAKALA AOMBE MSAMAHA
Replies: 0
Views: 83

GUARDIOLA:TOURE HATACHEZA MPAKA WAKALA AOMBE MSAMAHA

Kocha mkuu wa Timu ya Man City ameapa kuwa kiungo wa timu hiyo hatacheza mpaka pale wakala wake Dimitri Seluk atakapoomba msamaha. Pep anamtuhumu wakala huyo kwa maneno yake ya kichochezi, pale aliposema kuwa ati Guardiola anamnyanyasa mchezaji huyo. Wakala huyo inasemekana alitoa kauli hiyo baada y...
by offside
Wed Sep 07, 2016 4:31 pm
Forum: Ligi Kuu Hispania
Topic: MESSI KUIKOSA MECHI DHIDI YA CELTIC
Replies: 0
Views: 87

MESSI KUIKOSA MECHI DHIDI YA CELTIC

Messi ataikosa mechi ya kwanza mashindano ya ligi ya mabingwa dhidi ya Celtic. Messi ambaye alifunga goli pekee la ushindi wakati timu yake ya Taifa ya Argentina ilipocheza na timu ya Venezuela, bado hali yake si nzuri baada ya kuumia misuli ya mguu wa kushoto. Kulingana na taarifa kutoka timu ya Ba...
by offside
Sat Sep 03, 2016 8:54 am
Forum: Mambo Mchanganyiko
Topic: MESSI AREJEA VIZURI, AFUNGA GOLI PEKEE ARGENTINA
Replies: 0
Views: 68

MESSI AREJEA VIZURI, AFUNGA GOLI PEKEE ARGENTINA

Baada ya kutangaza kustaafu timu ya Taifa miezi mitatu iliyopita, kisha kughairi. Messi ameifungia bao pekee timu yake ya Taifa ya Argentina dhidi ya timu ngumu ya Uruguay. Na hivyo kuifanikisha timu hiyo kuongoza kwenye kundi la timu za Amerika ya Kusini ikifuatiwa na Uruguay. Hii inaonyesha jinsi ...
by offside
Tue Aug 30, 2016 11:58 am
Forum: Soka la Ulaya
Topic: ROONEY KUENDELEA NA UNAHODHA
Replies: 0
Views: 69

ROONEY KUENDELEA NA UNAHODHA

Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya England Sam Allardyce amethibitisha kuwa hakuna haja ya kubadili nahodha wa timu hiyo ya Taifa na kwamba Wyne Rooney anatosha. Allardyce alisema kuwa Rooney anaheshiwa sana na wachezaji wenzake na pia anaipenda kazi yake. Allardyce amesema pia atamtumia Rooney kama kiu...

Go to advanced search