Liverpool damu

Mada mchanganyiko zinazohusu ligi kuu ya Uingereza
Issa Michuzi
Posts: 2
Joined: Wed Sep 07, 2016 10:12 pm

Liverpool damu

Postby Issa Michuzi » Wed Sep 07, 2016 10:16 pm

Mimi ni mwanachama (sio shabiki) wa Liverpool FC aka Bwabwa la Maini. Tunakipiga na Leicester usiku huu. KILA LA HERI WANANGU!

Issa Michuzi
Posts: 2
Joined: Wed Sep 07, 2016 10:12 pm

Re: Liverpool damu

Postby Issa Michuzi » Fri Sep 16, 2016 8:15 pm

Leo tena tunavuka Daraja la Chelsea

hbwasport
Posts: 7
Joined: Sat Aug 27, 2016 6:36 pm

Re: Liverpool damu

Postby hbwasport » Mon Sep 19, 2016 8:34 pm

Mmetisha aisee, kikosi chenu kiko noma. Na Hapo Firmino hakucheza, lakini moto ulikuwa uleule


Return to “Ligi Kuu ya Uingereza”