MESSI KUIKOSA MECHI DHIDI YA CELTIC

Mada zinazohusu ligi kuu ya Hispania
offside
Posts: 6
Joined: Sat Aug 27, 2016 6:27 pm

MESSI KUIKOSA MECHI DHIDI YA CELTIC

Postby offside » Wed Sep 07, 2016 4:31 pm

Messi ataikosa mechi ya kwanza mashindano ya ligi ya mabingwa dhidi ya Celtic. Messi ambaye alifunga goli pekee la ushindi wakati timu yake ya Taifa ya Argentina ilipocheza na timu ya Venezuela, bado hali yake si nzuri baada ya kuumia misuli ya mguu wa kushoto. Kulingana na taarifa kutoka timu ya Barcelona, Messi ataendelea na matibabu huku akiendelea na mazoezi madogo madogo. Pole Messi tunakuombea upone haraka.

Return to “Ligi Kuu Hispania”