KONTE KUWAWEKA BENCHI MABEKI WAKE WAWILI

Mashabiki wa Chelsea kutoa mada mbalimbali kuhusu timu yao
KiungoMkabaji
Posts: 4
Joined: Sat Aug 27, 2016 6:22 pm

KONTE KUWAWEKA BENCHI MABEKI WAKE WAWILI

Postby KiungoMkabaji » Mon Sep 26, 2016 7:25 pm

Baada ya kushindwa vibaya kwenye mechi yake dhidi ya Arsenal kwa kipigo cha 3-0 jumamosi iliyopita (24 Septemba 2016), Kocha wa Chelsea Antonio Konte amepanga kuwaweka benchi mabeki wake wawili, Branislav Ivanovic na Gary Cahill ifikapo January. Uzembe wa mabeki hao ndio ulioifanya Chelsea ishindwe vibaya kwenye mechi hiyo. Kurejea kwa John Terry na Kurt Zouma ambaye aliumia goti kutampa unafuu Konte. Pia atawatumia David Luiz na Marcus Alonso ambao wamesajiliwa msimu huu
Image

Return to “Chelsea Fans”