ROONEY KUANZIA BENCHI, NINI HATMA YAKE???

Mashabiki wa Manchester United kutoa mada mbalimbali kuhusu timu yao
offside
Posts: 6
Joined: Sat Aug 27, 2016 6:27 pm

ROONEY KUANZIA BENCHI, NINI HATMA YAKE???

Postby offside » Mon Sep 26, 2016 1:10 pm

Kwenye mechi dhidi ya Leicester City, nahodha wa Man U Wyne Rooney alitokea benchi. Wachambuzi wa soka wanasema hii ni dalili mbaya kwa mchezaji huyo aliyekuwa mahiri. Juan Mata alianza na akafunga bao moja zuri, ambalo ni la pili kwa msimu huu. Mata ambaye aliuzwa na Jose Morinho alipokuwa Chelsea mwaka 2014 kwa sababu ambazo hazikujulikana vizuri anaonekana atang'ara sana kwenye msimu huu, jambo ambalo litampa wakati mgumu sana Rooney. Huenda Rooney akawa mtu wa kutokea benchi siku zote.
Image

Return to “Manchester United Fans”