KIPIGO CHA MAN U KUTOKA KWA CHELSEA-SINA IMANI NA MABEKI

Mashabiki wa Manchester United kutoa mada mbalimbali kuhusu timu yao
kochamchezaji
Posts: 7
Joined: Sat Aug 27, 2016 6:34 pm

KIPIGO CHA MAN U KUTOKA KWA CHELSEA-SINA IMANI NA MABEKI

Postby kochamchezaji » Mon Oct 24, 2016 9:12 am

Kwa wale ambao mlishuhudia mechi ya jana jumapili (23 Oktoba 2016) kati ya Chelsea na Man u mtakubaliana na mimi kwamba beki ya Man U ni zero kabisa inatia hasira. Daley Blind na Chris Smalling walichemsha vibaya mno, hawakuwa na moyo wa kujituma kabisa. Walionyesha uchovu wa hali ya juu. Mourinho anahitaji kufanya kitu hapo, asiporekebisha itamkosti. Ni hayo tu.
Image

Return to “Manchester United Fans”