ARSENAL YATOA SARE LIGI YA MABINGWA

Mashabiki wa Arsenal kutoa mada mbalimbali kuhusu timu yao
hbwasport
Posts: 7
Joined: Sat Aug 27, 2016 6:36 pm

ARSENAL YATOA SARE LIGI YA MABINGWA

Postby hbwasport » Thu Sep 15, 2016 8:30 am

Arsenal wametoa sare ligi ya mabingwa dhidi ya PSG baada ya Alexis Sanchez kusawazisha goli dakika ya 77. Goli hilo la ugenini linaipa Arsenal advantage kwani katika mchezo wa marudiano Arsenal itweza kuvuka hata kwa sare ya bila kufungana. Hongera mmeanza vizuri

Return to “Arsenal Fans”