JE LIVERPOOL WATACHUKUA UBINGWA??

Mashabiki wa Liverpool kutoa mada mbalimbali kuhusu timu yao
mkosaji
Posts: 6
Joined: Sat Aug 27, 2016 6:25 pm

JE LIVERPOOL WATACHUKUA UBINGWA??

Postby mkosaji » Mon Sep 26, 2016 8:52 am

Kikosi cha Liverpool msimu huu kinaonekana kimetulia. Kinacheza kitimu zaidi na wachezaji wanajituma zaidi kuliko ilivyokuwa kwa msimu uliopita, Swali langu je liver itaendelea na ushindi mfululizo namna hii? Je itachukua ubingwa kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi kupita??
Image

Return to “Liverpool Fans”