NINI KIMEWASIBU LEICESTER CITY??

Mashabiki wa Leicester City kutoa mada mbalimbali kuhusu timu yao
shuhuda
Posts: 5
Joined: Sat Aug 27, 2016 6:37 pm

NINI KIMEWASIBU LEICESTER CITY??

Postby shuhuda » Mon Sep 12, 2016 11:51 am

Jaman bado sielewi nini kimewasibu hawa mabingwa watetezi Leicester city mpaka sasa ni 16 kwenye msimamo na wameshinda mchezo mmoja tu, wamepoteza miwili na droo moja. Kwa hiyo wana point 4 tu. Kwa wale ambao waliiangalia mechi iliyopita dhidi ya Liverpool wanakubaliana na mimi kwamba hata goli moja walilofunga lilitokana na makosa yaliyowazi ya beki Lucas. Nini kimewasibu hawa watu au ni uchovu wa msimu unaotokana na msimu uliopita

Return to “Leicester City Fans”