BARCELONA YALA KIPIGO NYUMBANI

Mashabiki wa Barcelona kutoa mada mbalimbali kuhusu timu yao
hbwasport
Posts: 7
Joined: Sat Aug 27, 2016 6:36 pm

BARCELONA YALA KIPIGO NYUMBANI

Postby hbwasport » Mon Sep 12, 2016 12:18 pm

Barcelona imekula kipigo nyumbani bila hata kutegemea, baada ya kufungwa na timu mpya kwenye ligi kuu ya Hispania-Deportivo Alaves. Magoli ya Alaves yalifungwa na Brum Silva Acosta na Gómez Pérez wakati lile la Barcelona lilifungwa na Mathieu. Kocha wa Barcelona Luis Henrique aliwaanzisha benchi Messi na Suarez. Je tuseme ndo kosa ambalo kocha huyo alilifanya likapelekea kufungwa au ni kiwango tu kilikuwa chini!!!!!

Return to “Barcelona Fans”