GRIEZMAN ALIGOMA KUSAINI MPAKA BAADA YA UHAKIKA WA D.SIMEON KUBAKI

Mashabiki wa Atletico Madrid kutoa mada mbalimbali kuhusu timu yao
mkosaji
Posts: 6
Joined: Sat Aug 27, 2016 6:25 pm

GRIEZMAN ALIGOMA KUSAINI MPAKA BAADA YA UHAKIKA WA D.SIMEON KUBAKI

Postby mkosaji » Wed Sep 07, 2016 7:24 pm

Inasemekana eti griezmann aligoma kusaini Atletico Madrid mpaka alipopata uhakika kwamba Diego Simeoni kocha mkuu wa timu hiyo atabaki. "Niligoma kusaini mpaka nilipopata uhakika baada ya kumpigia simu naye aakanihakikishia kwamba hataondoka". Alisema Griezmann. Griezmann alipata wasiwasi baada ya kusikia fununu kuwa huenda kocha huyo akaondoka Hispania na kwenda kuinoa PSG ya ufaransa. Griezmann baaana!!!

Return to “Atletico Madrid Fans”