MAVUGO BAADO SANA KWA NGOMA

Mambo yote yanayohusu ligi kuu ya Vodacom bara
kochamchezaji
Posts: 7
Joined: Sat Aug 27, 2016 6:34 pm

MAVUGO BAADO SANA KWA NGOMA

Postby kochamchezaji » Tue Aug 30, 2016 8:10 am

Beki wa JKT Ruvu amebainisha baada ya kumpima Mshambuliaji Donald Ngoma na Laudit Mavugo, bado sana. Beki huyo Rahim Juma ametoa kauli hiyo baada kufanikiwa kumbana Mavugo mpaka kufikia hatua ya kutofunga bao lolote. Beki huyo aliongeza kuwa Ngoma ndio mgumu kwa sababu anahitaji nguvu na akili nyingi kumdhibiti. Kazi kwenu wana wa Msimbazi

H20
Posts: 2
Joined: Thu Sep 08, 2016 10:41 pm

Re: MAVUGO BAADO SANA KWA NGOMA

Postby H20 » Thu Sep 08, 2016 10:47 pm

Ni mtazamo wake tu huyo beki. Mbona Ngoma hakufunga mechi na Ndanda hivyo naye bado sana?


Return to “Ligi Kuu Bara”